Mafunzo ya Bustani ya Nyumbani kwa Wanawake 30

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/forevcgn/public_html/includes/menu.inc).
Sat, 01/10/2015 - 14:22 -- mike
Location: 
Minyenyeni, Pemba
TZ

Kutoka msaada wa Finnish Embassy's Local Cooperation Fund kwa mradi wa CFP ya Climate Change Adaptation Initiative (CCAI) tulifundisha wanawake thelathini kutoka jamii 13 za Pemba ili kuzidisha uzalishaji wa mazao kwenye maeneo iliokaribu na nyumba zao.  Watu Wengi wa jamii za Pemba hawatumii mbogomboga za kutosha katika milo yao ya kila siku.  Na hii ni hakika kabisa kwa watoto na wanawake.  Mafunzo haya yalikusudiwa zaidi kwa wanawake, na yalifanyika terehe 7 hadi 9 mwezi wa kwanza.  Yaliendeshwa na Afisa Kilimo Bi. Siti Bakar Makame na Afisa Utathmini na Ufuataliaji, Bw. Said Abdalla Suweid.

Mabustani haya yanatumia mbinu mbali mbali ambazo zinaweza kufaa kwenye mazingira mbali mbali nje ya kila nyumba.  Mafunzo haya yalihusisha maada zifuatazo:-

Ufuataliaji wetu utakuwa na utembeleaji wa kila mshiriki kusaidia kutayarisha bustani zao kabla ya kipindi cha mvua mwezi wa tatu.

Kukabiliana: