Tunatayarisha Bustani za Majumbani kwa Kipindi cha Masika

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/forevcgn/public_html/includes/menu.inc).
Fri, 03/06/2015 - 13:52 -- mike
Location: 
Rural Innovation Campus
TZ
Kilimo Mbadala

Kilimo cha bustani za majumbani ni miongoni mwa shughuli ambazo CFP tunazitekeleza kupitia ufadhili wa Ubalozi wa Finland.  Shughuli hizi zinafanyika katika shehia 13 hapa kisiwani Pemba na jumla ya bustani 54 zimeanzishwa.

Pamoja na hali ya jua kali bado wakulima wajitahidi kupanda aina mbali mbali za mboga pamoja na mazao mengine ili waweze kupata chakula kwa ajili ya familia zao na ziada kuweza kuuza ili wapate fedha zisaidie kuongeza kipato.

 

Kukabiliana: