Community Forests Pemba ilianzishwa baada ya uzinduzi wa
kupanda miti Kisiwa cha Pemba. Tangu 2007 NGO hii imesadia upandaji wa
miti zaidi kuliko 1,000,000 pamoja na shuguli mbali mbali za
kuboresha maisha ya watu na hali ya mazingira.

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in menu_set_active_trail() (line 2405 of /home/forevcgn/public_html/includes/menu.inc).
Kukabiliana

Mabadiliko ya tabianchi yanatokea, na asilimia kubwa wa wanasayansi wanakubali kwamba inasabibishwa na vitendo vya binadamu.  Community Forests Pemba inasaidia jamii kukabiliana na...

Kilimo Mseto

Kilimo mseto kinatoa vifaa vya kunganisha mazao ya mwaka na miti ya miaka.  Miti inazidisha virutubisho kwenye udongo na inazuia mmomonyoko wakati mazao yanatoa mapato ya pesa moja kwa moja.

Kilimo Mbadala

Jamii zetu wanatumia mbinu bora ya kulima bustani ndogo inayozidisha upatikanaji wa matunda na mbogomboga kwa afya bora.

Bustani za "Biointensive"

Kutayarisha bustani ya "biointensive"...

Ujenzi Mbadala

Compressed Stablized Interlocking Earth Blocks (CSIEB) ni matofali zinazotumika kujengea majengo yenye ubora na kwa bei nafuu. Udongo unachanganishwa na chokaa au saruji na inagandamizwa ndani ya...

Nishati Uedelevu

Community Forests Pemba inafanya kazi kuanza mapinduzi ya umeme wa uendelevu. Kila nyumba kwenye jamii inapata betri ya pikipiki pamoja na taa ya LED. Chaji ya betri inabaki kwa wiki, na mwisho ya...

Ufugaji wa Nyuki

Ufugaji wa nyuki unafaida nyingi. Nyuki wanazidisha majani. Sisi tunavuna asali na ntaa, ambazo zinaweza kusindika kupata vitu vingine kama mishumaa nk. Jamii zetu wanafuga nyuki kwenye misitu...

Misitu ya Jamii

Jamii zetu wamewahi kupanda miti zaidi kuliko 1,000,000 kwenye Pemba. Inahamasisha kuona upandaji wa miti unaendelea kuenea kwenye kisiwa hichi.

Mkaa Mbadala

Viwanda vingi vya mbao vinachoma unga wa mbao wao. Sasa, jamii wanatumia ungu huu kutengeneza mkaa mbadala. Ungu wa mbao unchanganishwa na maji na karatasi au maji na majani ya muhogo. Karatasi au...

Majiko Sanifu

Pamoja na mkaa mbadala, tunawafundisha kutengeneza na kuuza majiko sanifu. Majiko haya yanapunguza ukataji kwenye misitu, yanafupisha muda wa kupika, and wamewawezesha wanawake kuanzisha biashara...

Rural Innovation Campus

Rural Innovation Campus (RIC) ipo Minyenyeni Pemba. Inatoa eneo kwa watu kubadilishana mawazo na kujenga ufumbuzi. Kwenye RIC kuwa mifano ya kilimo mseto, bustani bora za kutoa vyakula, na banda...

Uvunaji wa Maji

Community Forests Pemba imefunga mifumo miwili mikubwa ya uvunaji wa maji kwenye visiwa vidogo viwili karibu na Pemba. Mifumo hii inayo hodhi kubwa, filta za UV na micron kusafisha maji haya kabla...