Majiko Sanifu

Pamoja na mkaa mbadala, tunawafundisha kutengeneza na kuuza majiko sanifu. Majiko haya yanapunguza ukataji kwenye misitu, yanafupisha muda wa kupika, and wamewawezesha wanawake kuanzisha biashara kuuza majiko haya.

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/forevcgn/public_html/includes/menu.inc).