Rural Innovation Campus

Rural Innovation Campus (RIC) ipo Minyenyeni Pemba. Inatoa eneo kwa watu kubadilishana mawazo na kujenga ufumbuzi. Kwenye RIC kuwa mifano ya kilimo mseto, bustani bora za kutoa vyakula, na banda la nyuki. Pia kuna kumbi mbili kwa semina, na kila kitu kinatumia nishati ya uendelevu. Kuna panel za sola 12, batri kubwa nane, na inverta mbili zinazosharikiana. Karibu sana kututembelea.

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/forevcgn/public_html/includes/menu.inc).