Ufugaji wa Nyuki

Ufugaji wa nyuki unafaida nyingi. Nyuki wanazidisha majani. Sisi tunavuna asali na ntaa, ambazo zinaweza kusindika kupata vitu vingine kama mishumaa nk. Jamii zetu wanafuga nyuki kwenye misitu waliopanda. Wanapata pesa wakati kuhifadhi mali asili zao.